
| How to get into parks | National Parks Hotlines | Send Mail to Customer Care Unit | Chimps come to feed by the lakeshore in the dry seasonBeautiful and attracting beaches such as Fly catcher, Mchangani and MichicocoThe aquatic part of the Park inhabits a variety of fisheries life, mainly Tilapia and Nile Perch.The park is rich of plants and animals such as Greater Kudu (Tragelaphus strepsiceros) which can not be found in any other national parkThe Roof of AfricaThe Great MigrationThe Garden of God (Bustani ya Mungu)Mwanamfalme wa Uingereza, Prince William amesisitiza umuhimu wa jamii kushirikishwa katika shughuli za uhifadhi wa maliasili kwa kupatiwa elimu zaidi ya masuala ya uhifadhi ili isaidie katika mapambano dhidi ya ujangili nchini.Mwanamfalme huyo ambaye yupo katika ziara nchini ametoa wito huo leo alipotembelea Hifadhi ya Taifa Mkomazi ambako ameelezea kufurahishwa na vivutio vilivyoko katika hifadhi hiyo na kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanyika katika kuishirikisha jamii kwenye shughuli za uhifadhi na kupambana na ujangili.Mwanamfalme William amewasili katika Hifadhi ya Taifa Mkomazi leo mchana na kulakiwa na wenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Same, Mh. Rosemary Senyamule, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Dk. Allan Kijazi, Mkurugenzi wa Mradi wa Faru